Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA UDAKU
  • Mbosso Yamfika Hapa, Awashukia Vikali Diamond Platnumz na Babu Tale…
HABARI ZA UDAKU

Mbosso Yamfika Hapa, Awashukia Vikali Diamond Platnumz na Babu Tale…

August 18, 2025August 18, 2025 Udaku Special

Mwanamuziki Mbosso ametoa ufafanuzi kupitia ukurasa wake wa Instagram, akizungumzia mahusiano yake na Baba Levo, huku akisisitiza heshima yake kwa Diamond Platnumz.

Mbosso ameeleza kuwa mtu pekee mwenye mamlaka ya kumkanya Baba Levo ni Diamond Platnumz. Amehitimisha ujumbe wake kwa kauli nzito inayoonyesha heshima yake kubwa kwa Diamond, akisema heshima hiyo itadumu hadi kifo chake.

Babu Tale, Diamond Platnumz, Mbosso

Related Posts

HABARI ZA UDAKU

Kajala atoa kauli baada ya Harmonize kusema hamheshimu

July 26, 2026 Udaku Special
HABARI ZA UDAKU

Pata Dawa Mpya za Kutengeneza Shepu ya Kudumu

July 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Taifa Stars Kuivaa Morocco Robo Fainali, Kenya Kuivaa Madagascar
Next: CCM Yatangaza Rasmi Ratiba ya Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Wabunge

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa

  • Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

  • Balaa! Harusi ya Monalisa katoro ni zaidi ya Sendoff, Pesa zamwagwa, Magari, Pol Brand aonyesha

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.