Nature

Unaambiwa Sio FADLU tu Hata Beki Rushine Hajarudi Tanzania

“Tumetoa ‘Off’ kwa vijana wetu leo Jumapili (Jana) na Kesho Jumatatu (Leo) na Jumanne timu inarejea Mazoezini kwaajili ya kuanza maandalizi ya mechi yetu Alhamisi.

Kwahiyo wapo wengi ambao wameshukia ama wameishia Afrika Kusini Kwasababu ya kuenjoi ‘Off’ ya Siku mbili hizi,nandio maana hapa hamjamuona Rushine De Reucky hamjamuona Neo Maema hamjamuona Kocha Fadlu pamoja na benchi lake la ufundi”-Ahmed Ally🗣️

Ameyazungumza haya wakati wakiwasili kutoka Botswana

Related Posts