Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Gossip News
  • P Diddy Kutoka Jela ni May 2028
Gossip News

P Diddy Kutoka Jela ni May 2028

November 4, 2025November 4, 2025 ajirayako


Kutoka kwenye website ya Magereza nchini Marekani (Federal Bureau of prison) Msanii Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka Gerezani Mei 2028.

Diddy alihukumiwa kifungo cha miezi 50 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ya kusafirisha watu kwa ajili ya kufanya ukahaba.

Tovuti ya Shirikisho la Magereza inaonyesha kwamba tarehe yake ya kuachiliwa ni Mei 8, 2028, ambayo ni takribani miezi 30 kuanzia sasa

Related Posts

NED NWOKO – Simtaki Regina Daniels nyumbani kwangu
Gossip News Trending News

NED NWOKO – Simtaki Regina Daniels nyumbani kwangu

November 19, 2025November 19, 2025 ajirayako
Mike Sonko atishia kumuua Mkwe wake kisa kumpiga Mwanae, "nakusomeshea watoto, nakulipia Nyumba"
Gossip News

Mike Sonko atishia kumuua Mkwe wake kisa kumpiga Mwanae, “nakusomeshea watoto, nakulipia Nyumba”

November 19, 2025November 19, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Rais Ruto wa Kenya Afunguka Kuhusu Uchaguzi wa Rais  Tanzania
Next: Bodi ya Ligi ya TPLB Yatoa Taarifa Hii Muhimu Ligi Kuuu

Popular Posts

  • Simba Kusajili Wachezaji Watatu wa Kigeni

  • Dudu Baya Akinukisha Teana Baada ya Kuona Video ya Mkubwa Fela na Mkewe

  • Simba Wamsajili Beki wa Pembeni wa Yanga Nickson Kibabage

  • Arsène Wenger “Africa Nzima ilikuwa Dhidi ya Morocco”

  • Polisi Wadaiwa Kuzingira Nyumba ya Bibi Wine Mgombea Urais Uganda

  • BREAKING; CAF Yamsimamisha Kazi Kocha wa Senegal

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.