Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Gossip News
  • P Diddy Kutoka Jela ni May 2028
Gossip News

P Diddy Kutoka Jela ni May 2028

November 4, 2025November 4, 2025 ajirayako


Kutoka kwenye website ya Magereza nchini Marekani (Federal Bureau of prison) Msanii Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka Gerezani Mei 2028.

Diddy alihukumiwa kifungo cha miezi 50 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ya kusafirisha watu kwa ajili ya kufanya ukahaba.

Tovuti ya Shirikisho la Magereza inaonyesha kwamba tarehe yake ya kuachiliwa ni Mei 8, 2028, ambayo ni takribani miezi 30 kuanzia sasa

Related Posts

Gossip News Trending News

NED NWOKO – Simtaki Regina Daniels nyumbani kwangu

November 19, 2025November 19, 2025 ajirayako
Gossip News

Mike Sonko atishia kumuua Mkwe wake kisa kumpiga Mwanae, “nakusomeshea watoto, nakulipia Nyumba”

November 19, 2025November 19, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Rais Ruto wa Kenya Afunguka Kuhusu Uchaguzi wa Rais  Tanzania
Next: Bodi ya Ligi ya TPLB Yatoa Taarifa Hii Muhimu Ligi Kuuu

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Baada ya kikao, Yanga imefanya maamuzi haya kwa kocha Manqoba

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • TMA: Mvua Kutarajiwa Kunyesha Mfululizo Mikoa Hii Saa24 Zijazo Kuanzia Saa3 Usiku

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.