Niffer Afikishwa Mahakamani, Mama Yake Mzize Afika Kushuhudia

Mfanyabiashara Jenifer Jovin Bilikwija ‘Niffer’ amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam leo hii.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam lilithibitisha kumshikilia Mfanyabiashara huyo October 27, 2025 likimtuhumu kwa makosa ya kuhamasisha Watu kufanya fujo siku ya kupiga kura.

Mwanaisha Izack ambaye ni Mama wa Mfanyabiashara Jennifer Jovin (Niffer) amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam.

Related Posts