Klabu ya Azam imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Magoli ya Azam yamefungwa na kitambala pamoja na Iddy Nado na Moja ya vitu vya kuvutia kwa klabu ya Azam ni kwamba Assist zote zimetolewa na Super sub Nassor Saadun.

