Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kocha Msaidizi, Matola Ndio Basi Tena
HABARI ZA MICHEZO

Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kocha Msaidizi, Matola Ndio Basi Tena

January 16, 2026January 16, 2026 ajirayako

Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kristopher Bergman kuwa kocha msaidizi mpya wa timu hiyo, ikiwa ni sehemu ya maboresho ya benchi la ufundi kuelekea mashindano yajayo ya ndani na kimataifa.

Uongozi wa Simba SC umeeleza kuwa ujio wa Bergman unalenga kuongeza ubora wa kiufundi, mbinu na uzoefu ndani ya benchi la ufundi, ili kuimarisha ushindani wa kikosi katika Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho pamoja na michuano ya CAF.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Waziri Mwigulu: Tusisubiri EL NINO Kama Harusi

October 17, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Yanga SC imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA

October 17, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Polisi Wadaiwa Kuzingira Nyumba ya Bibi Wine Mgombea Urais Uganda
Next: Ashinda Ubunge Akiwa Gerezani Uganda

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Baada ya kikao, Yanga imefanya maamuzi haya kwa kocha Manqoba

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • Manara atishia kutoa siri za Yanga “Kuchoma Sindano wachezaji” Atolewa Magroup ya Yanga? Atoa majibu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.