FADLU DAVIDS NA MIPANGO MIPYA KWENYE DIRISHA DOGO LA USAJILI 📝
Kwa mujibu wa The Africafoot Team ni kwamba Kocha wa zamani wa Simba Sc ,Faldu Davids amependekeza jina la kiungo wa Simba Sc,Jean Charles Ahoua kwenye orodha yake kwa ajili ya kusajiliwa na Raja Casablaca kwenye dirisha dogo la usajili.
Mkataba wa Ahoua na Simba unamalizika mwisho wa msimu huu.!
