Nilipoambiwa nina kisukari, maisha yangu yalibadilika ghafla. Dawa, vipimo vya mara kwa mara, masharti ya chakula na hofu ya madhara vilianza kunichosha kiakili na kimwili. Nilikuwa nafanya kila nilichoelekezwa hospitalini, lakini bado nilihisi mwili wangu haukuwa sawa. Nilihitaji msaada wa ziada, kitu cha kunipa nguvu na matumaini bila kuacha ushauri wa kitabibu.
Ndipo ndugu yangu akanisimulia kuhusu Kiwanga Doctor. Aliniambia kuna watu wamepata nafuu katika udhibiti wa kisukari kwa kutumia tiba asili kama nyongeza ya ushauri wa hospitali. Sikuchukua uamuzi wa haraka. Nilijiuliza maswali mengi kama Mtanzania wa kawaida. Lakini nikaamua kuwasiliana naye ili nipate maelezo. Soma zaidi hapa
