Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lamine Yamal ametwaa Tuzo ya mshambuliaji bora wa mwaka 2025 kutoka Global Soccer 2025.
Lamine ametwaa Tuzo hiyo baada ya kuwa na msimu mzuri wa mashindano wa mwaka 2025 licha ya kuwa na umri mdogo amefanya maajabu makubwa katika mwaka huu.
