Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Mchezaji Duchu wa SIMBA Apigwa Faini Kisa Ushirikina
HABARI ZA MICHEZO

Mchezaji Duchu wa SIMBA Apigwa Faini Kisa Ushirikina

March 6, 2026 Udaku Special

Mchezaji David Kameta wa klabu ya Simba ametozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuonekana akimwaga kimiminika kiwanjani wakati timu hiyo ilipozuru uwanja dakika chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Amaan, kitendo kilichotafsiriwa kama Imani za kishirikina.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.5) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan kurejea kuishi Uingereza

August 24, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Steve Barker Azungumzia Kadi Nyekundu Simba SC: Tumejipanga Haitupi Tabu

August 24, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”
Next: Mwamuzi Aliyekataa GOLI la Simba Dhidi ya Yanga Afungiwa Miezi Sita

Popular Posts

  • Kwa Nini Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

  • Mtanzania Isaya akanusha kutelekeza Mke wa Kizungu na Mtoto kabla kumchumbia Mtoto wa Rais Ruto

  • Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

  • Aliyedai fidia ya Sh40 milioni kwa kulea mimba ya mtoto asiye wake, agonga mwamba kortini

  • MATOKEO ya Simba na Singida Black Stars Leo Tarehe 22 August 2026

  • Tundu Lissu: Sina Kesi ya Kujibu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.