Tunapaswa kuwaheshimu Tanzania, wana ligi nzuri (NBCPL) na wana wachezaji wanaocheza mataifa ya nje.
“Hakuna timu ndogo kwenye AFCON. Unapoteza mchezo mmoja na unatolewa, hii hatua haina chumba cha makosa kabisa.” – Walid Regragui, kocha wa Morocco akizungumzia mchezo dhidi ya Tanzania.
Mechi itapigwa kesho dimba la Prince Moulay Abdellah kuanzia saa 1:00 usiku
