HABARI ZA UDAKU Afungwa Miezi 6 kwa Tuhuma za Kuzusha Kuibiwa Nyeti Mkoani Geita April 11, 2026 Udaku Special Kijana Mmoja aliyefahamika kwa Jina la Abdulaziz Kabangila (31) Mkazi wa Mwatulole Mkoani Geita, aliyefikishwa Mahakama ya Mwanzo Nyankumu, amehukumiwa kwenda Jera kutumikia kifungo cha Miezi 6 kwa tuhuma za kuzusha kuibiwa Nyeti. Akizungumza na vyombo vya Habari Kamanda wa Poisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amesema Mnamo Aprili 6 , 2026 majira ya saa Moja usiku katika eneo la starehe Kijana Abdulaziz alizua taharuki kwa madai kuwa amepoteza nguvu au maumbile yake ya siri baada ya kuguswa Bega na Mlalamikaji Vedastus Magogo lakini haikuwa na ukweli Related Posts HABARI ZA UDAKU Nilikimbiwa na Bahati ya Viza na Kibali cha Kusafiri Nje ya Nchi Mara Tano Mfululizo, Mpaka Tiba Hii ya Kiasili Iliponifungulia Njia na Kusafiri October 4, 2026 Kevin Oucho HABARI ZA UDAKU Mume Wangu Alikuwa Akiniletea Dharau na Vitisho vya Kuniacha, Mpaka Visomo Hivi Viliporudisha Heshima na Mapenzi Mazito October 3, 2026 Kevin Oucho