Ali Kamwe “Jasusi Kanipa za Ndani Yule Kocha Msaidizi Anaenda Kufukuzwa Kazi”

Msemaji wa klabu ya Yanga SC @alikamwe amendika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu taarifa anazodai kupewa na Jasusi wake ameandika Hivi??

“”Dogo kwema? Jamaa jana wamepiga biti picha za kikao zisipande ili kuua soo, Lakini moja katika maamuzi waliyokubaliana ni Kumfukuza kazi yule kocha msaidizi. Wanasema kwenye hili janga lazima watafute mbuzi wa kumtoa kafara ili wao wawe salama kwa mashabiki, hivyo wamemla kichwa. Taarifa yake itatoka muda sio mrefu. Kumejadiliwa mengi sana jana na nitakupa habari zote, tatizo lako umekuwa mzito siku hizi kutoa hizi habari kwa haraka, shida nini?”

JASUSI KACHUKIA NINAVYOCHELEWESHA HABARI.

Ila jasusi Wa alikamwe ….

Related Posts