Nilipoolewa, niliingia kwenye ndoa nikiwa na imani kubwa. Niliamini kuwa upendo ni kushirikiana kila kitu. Nilijitoa kwa moyo wangu wote. Nilisaidia kuendeleza familia yake. Nilishiriki hata kwenye kupanua shamba la wazazi wake lililokuwa chanzo kikuu cha kipato.
Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningetupwa nje kama mgeni. Tulikaa pamoja kwa miaka sita. Katika kipindi hicho, nilimsaidia mume wangu kusimamia biashara ya nafaka na mifugo. Niliamka mapema. Nililala..SOMA ZAIDI
