Ryan Routh is amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kujaribu kumuua Donald Trump, miezi miwili kabla ya uchaguzi wa Marekani mwaka 2024.
Tukio hilo lilitokea Septemba 2024 katika Klabu ya Gofu ya Kimataifa ya Trump, iliyopo West Palm Beach, Florida, wakati Trump, ambaye sasa ni Rais, akiwa mgombea wa urais.
