Amri Kiemba Atambulishwa Kagera Sugar Msaidizi wa Kaze

Amri Kiemba Atambulishwa Kagera Sugar Msaidizi wa Kaze
Amri Kiemba Atambulishwa Kagera Sugar Msaidizi wa Kaze

Amri Kiemba Atambulishwa Kagera Sugar Msaidizi wa Kaze

Klabu ya Kagera Sugar baada ya kuvunja benchi lake la Ufundi na Kumtangaza Cedrick Kaze kama Kocha wao mkuu leo Septemba 30 wamemtambulisha Amri kiemba kama kocha msaidizi ndani ya Klabu hiyo.

Kagera Sugar wamemuongeza Kiemba asaidiane na Kaze kuhakikisha klabu hiyo inapata matokeo mazuri na kuhakikisha inasalia katika ligi kuu ya Tanzania bara pamoja na kumaliza katika nafasi nzuri katika msimamo wa ligi.

Related Posts