Maskini, Mama wa Marehemu Carina Naye Afariki Dunia
Habari za majonzi zimeendelea kuitikisa familia ya marehemu msanii Hawa Hussen maarufu kama Carina, baada ya mama yake mzazi, Fatma Maruzuku, kufariki dunia. Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mama…