Aston Villa Kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya Msimu Ujao

Aston Villa Kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya Msimu Ujao
Aston Villa Kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya Msimu Ujao

Aston Villa imejihakikishia nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kufuatia ushindi wa 4-2 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa ligi kuu England katika dimba la Villa Park.

Kwa ushindi huo Aston Villa imekwea mpaka nafasi ya nne ikifikisha alama 62 baada ya mechi 37 huku Liverpool ikiporomoka mpaka nafasi ya tano alama 59 baada ya mechi 37.

FT: Aston Villa 4-2 Liverpool
⚽ 62’ Rogers
⚽⚽ 57’ 73’Watkins
⚽ 89’ McGinn

⚽⚽ 52’ 90+2’ van Dijk

Related Posts