Aziz K Afunguka “Haikuwa Raisi  Kutoka Yanga Kwenda Wydad

Aziz Ki anasema, dili lake la kwenda Morocco halikuwa rahisi kutokana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa Yanga na Tanzania, kwani alishapazoea kama nyumbani, hivyo ilikuwa ngumu kutengana na familia na kwenda kuanza upya.
.
“Niwe mkweli haikuwa rahisi kufanya uamuzi ule, unajua Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye moyo wangu ndio kila kitu kwangu ni familia yangu,”
.
“Haikuwa Yanga pekee niliyokuwa na furaha nayo hapa Tanzania, unafahamu maisha kuna wakati yanatufundisha hata kama unafanya kitu kizuri unatakiwa kujua wakati gani sahihi wa kuondoka, kwangu mimi ilikuwa ni uamuzi mgumu niliotakiwa kuufanya kwa kuondoka kwa ajili ya kipaji changu hasa kule nilipotakiwa kwenda, kwa hiyo ulikuwa ni uamuzi sahihi unaoumiza. [Mwanaspoti]

Related Posts