TP Mazembe imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya MC Alger kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kundi A huku wakiendelea kusalia mkiani wa msimamo wa Kundi hilo pointi 2 baada ya mechi tano.
Kipigo cha Mazembe ambayo itakamilisha ratiba dhidi ya Al Hilal kinaiweka Yanga Sc ya Tanzania kwenye wakati mgumu zaidi wa kufuzu hatua ya robo fainali ambapo watatakiwa kushinda mechi zote mbili zilizosalia ili kufuzu tena kwa kuifunga MC Alger zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa mwisho.
FT: Mc Alger ๐ฉ๐ฟ 1-0 ๐จ๐ฉ TP Mazembe
โฝ 36โ Akram Bouras (P)
MSIMAMO KUNDI A
1. ๐ธ๐ฉ Al Hilal โ mechi 4 โ pointi 10
2. ๐ฉ๐ฟ MC Alger โ mechi 5 โ pointi 8
3. ๐น๐ฟ Yanga Sc โ mechi 4 โ pointi 4
4. ๐จ๐ฉ TP Mazembe โ mechi 5 โ pointi 2

