Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • BREAKING: FIFA Imewaondolea Singida Black Stars Adhabu ya Kutosajili
HABARI ZA MICHEZO Sports News

BREAKING: FIFA Imewaondolea Singida Black Stars Adhabu ya Kutosajili

July 30, 2025July 30, 2025 Udaku Special

BREAKING: FIFA imewaondolea Singida Black Stars,adhabu ya kutosajili baada ya kulipa madeni yote ya wachazaji wao watatu.

Awali Singida walikumbana na Rungu la FIFA baada ya kushindwa kulipa Stahiki za wachezaji wao watatu ambao ni Mbaraka Hamza,Amade Momade na Manu Bola.

Ila kwa sasa Singida wako huru kusajili kwani kila kitu kimewekwa sawa🖐️

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Depu Atupia Hat Trick Yanga Wakiifuata TMA Stars 16 Bora

March 9, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 5 Kariakoo Derby

March 7, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Wasibweteke, Mashindano ya CHAN ni Fursa Kwa Wachezaji Wetu Kujitangaza
Next: TRANSFER NEWS: Kocha Fadlu Amesimamisha Baadhi ya Sajili Simba

Popular Posts

  • Mauaji ya Ayatollah Ali Khamenei alivyouliwa nyumbani! Kwanini hakutaka kujificha

  • Ripoti ya Ujasusi ya Marekani ilibaini Serikali ya IRAN Haiwezi Kuanguka hata ishambuliwe vipi!

  • Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”

  • Polisi Pwani Kuhusu Bawacha “Walikuwa Wanaenda Kutekeleza Uhalifu”

  • Yanga Yalalamika Kuhusu Adhabu na Makosa ya Waamuzi Ligi Kuu

  • Miaka 7 Jela kwa Kutumia Vyeti FEKI vya Marehemu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.