Chadema Yaitisha Kikao Kamati Kuu Mei 21
Chadema Yaitisha Kikao Kamati Kuu Mei 21 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kufanya kikao cha Kamati Kuu, Mei 21, 2025, jijini Dar es Salaam ambapo ‘No reform no…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Habari za Siasa Kutoka Tanzania na Nje ya Nchi, Kila siku tunawaletea habari kubwa za Siasa zinazo trend
Chadema Yaitisha Kikao Kamati Kuu Mei 21 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kufanya kikao cha Kamati Kuu, Mei 21, 2025, jijini Dar es Salaam ambapo ‘No reform no…
Wanajeshi 200 Wauwawa Burkina Faso Kundi moja la wanamgambo huko Afrika Magharibi lililo na mafungamano na kundi la al-Qaeda, limesema limewauwa wanajeshi 200 wa Burkina Faso katika kambi moja ya…
Rais Ruto Amlipua Rigathi Gachagua na Chama Chake Kipya Rais wa Kenya, William Ruto, ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya aliyekuwa Naibu wake, Rigathi Gachagua, akimtuhumu kwa kuendeleza siasa za matusi…
Baadhi ya Wananchi na wafanyabiashara jijini Arusha wameipongeza Miaka mitano ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa ya manufaa kwa kuondoa changamoto zao kwenye Soko kuu,…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani baada ya mamia ya wanachama wake kuripotiwa kujiondoa kwa hiari, hali inayozua taharuki katika ulingo wa siasa nchini.…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeweka wazi barua ya Februari 20,2025 yenye kumbukumbu C/HQ/ADM/SG/02 waliyomjibu mwanachama wake, Lembrus Mchome, kwamba Baraza Kuu Taifa la chama hicho, lilikuwa halali na…
TRAORÉ Amlipua Jenerali wa Marekani “Yote Aliyosema ni ya Uongo, Ajitazame Kwenye kioo, Aone Aibu”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa kichama wa Kinondoni na mmoja wa waanzilishi wa kundi la G-55, Henry Kilewo, ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya chama hicho, akitoa sababu nzito zinazohusiana…
Rais wa Kenya William Ruto amesema watu wote waliotekwa nyara kufuatia maandamano ya kupinga serikali mwaka jana wamerejeshwa kwa familia zao, na akaahidi tukio hilo halitarudiwa tena, kauli iliyoelezwa kama…
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia kwenye Mitandao yake ya Kijamii, Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa ametoka kwa dhamana usiku huu huku…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema saa 06:45 usiku May 13,2025 katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata…
TRAORÉ: WANATAKA NINYAMAZE! Wanasema naongea sana
Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ametoa ujumbe wa moja kwa moja kutoka gerezani Ukonga, ambapo anashikiliwa kwa tuhuma za uhaini. Katika ujumbe wake uliosambazwa na…
Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje amewataka wanachama wa CHADEMA kuendeleza kampeni ya ‘no reforms no election’ bila kujali upinzani uliopo ndani na nje ya chama hicho ili kupata…
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema pamoja na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu yupo gerezani hawatabaki kumlilia bali wataendelea na mapambano ya…