Yanga Awaamini Kilichotokea, Wapigwa Bao Tatu Kwa Mbili na Dodoma Jiji….

Yanga Awaamini Kilichotokea, Wapigwa Bao Tatu Kwa Mbili na Dodoma Jiji….

Wananchi hawaamini kinachotokea hapa Airtel Mtipa, Singida, Dodoma Jiji FC wamechomoa na kupata ushindi dhidi ya Wananchi, Young Africans SC.

Yanga SC imepoteza mechi kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kipigo hicho ingawa wanaendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi alama 54 baada mechi 23 alama tano mbele ya Simba SC wenye mchezo mmoja mkononi.

Dodoma Jiji FC 3-2 Yanga SC
⚽ 02’ Okello
⚽ 42’ Okello

⚽ 28’ Mwamnyeto (OG)
⚽ 90’ David Kibuta
⚽ 90+5’ Waziri Junior

Related Posts