Mbunge wa zamani wa jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Ester Bulaya ambaye mwaka huu (2025) amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameteuliwa na chama chake cha sasa kugombea ubunge kwenye jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.