Nature

Diamond Ndio Msanii Bora na Mkubwa Kuwahi Kutokea Afrika Mashariki, Kama Una Kichwa Maji Huwezi Elewa

Diamond ndio msanii bora, msanii mkubwa na msanii maarufu zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki
Diamond ndio msanii bora, msanii mkubwa na msanii maarufu zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki

Diamond ndio msanii bora, msanii mkubwa na msanii maarufu zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki FULL STOP.

Toka kiwanda cha muziki kiumbwe Afrika Mashariki hajawahi kutokea msanii bora, Msanii mkubwa na msanii maarufu zaidi kama Diamond kama Unabisha MTAJE…!

Kwangu mimi Diamond ni level moja na akina Davido, Wizkid, Burna boy kwa sasa kama unabisha basi asili yako ni ubishi tu.

Hii ndio alama ya muziki Afrika Mashariki, hii ndio nembo yetu kwa ufupi hii ndio ROHO ya muziki wa Afrika Mashariki.

Huyu kama isingekuwa roho mbaya za watu angetakiwa awe na mafanikio makubwa kuliko wasanii asilimia 90 wa Nigeria.

Laiti Diamond angetokea Nigeria leo angekuwa na GRAMMY hata mbili au Tatu.

Kinachoniuma Diamond sio msanii wa kukosa walau hata wimbo mmoja ambao unapelekwa Grammy au BET kila mwaka namaanisha.

Tayari ame-set Standard ya Kimataifa swlai langu kwanini anakosekana kwenye Majukwaa makubwa?? Maana ya ku-set Standard ni IPI?? So ame-set Standard halafu tunawaona akina FID Q, AY, ABBY CHAMS wanaenda GRAMMY na BET Diamod haendi?? Why??

Siwezi kumjibu Mendez wala kumkashfu bali kama UONGOZI LAZIMA kwa MWAKA MUWE NA AJENDA, Malengo kwa msanii ni yapi, Target ni nini?? Au kufanya muziki just a freestyle tu tunaenda na UPEPO??

Sasa mimi AJENDA YANGU KUANZIA SASA KUSHINIKIZA UONGOZI KU-SET STANDARD YA KIMATAIFA TU.

Kuanzia anachoandika msanii, nyimbo zake iwe standard ya Kimataifa tu ikiwemo kutumia Lugha ya Biashara.

Diamond sio msanii wa Mendez bali ni Msanii wa Taifa, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni kuhusu Diamond yawe POSITIVE OR NEGATIVE wewe kama Meneja CHUJA kizuri chukua kibaya ACHA.

Mimi naongea haya kwa sababu asilimia 99 ya watu waliopo karibu na msanii hawawezi kuongea haya.

Mimi ndio Nampenda DIAMOND maana kila siku natoa ushauri kuliko hao ambao hawawezi kumweleza mambo ya KUMJENGA bali wanasifia WAPEWE HELA.

Kama huna Kichwa MAJI utanielewa, Wachache sana watanielewa na mimi sitaki mnielewe wote..!

Kwa kumalizia mimi sio Chawa wa msanii youote ndio mana niko FREE kutoa maoni yoyote kwa msanii yoyote.

Ukweli mchungu ni kwamba Diamond ana Legacy BONGO ila NJE HANA LEGACY, TUZO KAMA GRAMMY ITAMPA HESHIMA KUBWA SANA📌

Am Done..!

Related Posts