
Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imeanza kampeni zake wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027 kwa ushindi wa 2-0 nyumbani dhidi ya Guinea ya Ikweta kwenye mchezo wa Kundi E wa michuano hiyo
Peter Shalulile amecheza kwa dakika 89 kama Nahodha wa timu ya Taifa ya Namibia wakati timu hiyo ikichomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Congo huku Inno Leomba wa Simba SC akishindwa kupata dakika moja ya kucheza akiwa benchi wakati timu yake ikipoteza.
FT: DR Congo π¨π© 2-0 π¬πΆ Equatorial Guinea
β½ 04β Mbemba
β½ 72β Wissa
FT: Namibia π³π¦ 1-0 π¨π¬ Congo
β½ 47β Muzeu
FT: Libya π±πΎ 2-2 π§πΌ Botswana
FT: Mauritania π²π· 4-1 π¨π«Central Africa
