Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Elie Mpanzu Aitosa SIMBA Kambi ya Mazoezi
HABARI ZA MICHEZO Sports Gossip

Elie Mpanzu Aitosa SIMBA Kambi ya Mazoezi

August 4, 2025August 4, 2025 Udaku Special

BREAKING 🚨: ELIE MPANZU HAJAWASILI MAZOEZINI.

Mpaka sasa Mchezaji wa Simba Mcongo Elie Mpanzu hajawasili kwenye kambi ya timu ya Simba iliyopo Pre-Season nchini Misri.

Mpanzu hajatoa taarifa yeyote kuhusu kuchelewa kwake kwenye kambi ya Pre-season.

Uongozi wa Simba unaendelea kufanya juhudi za kumtafuta ili aungane na wenzake kuelekea maandalizi ya Msimu Mpya

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

How a strategic play turned a Katavi resident into the latest SportPesa Tanzania Mid-Week Jackpot winner

April 11, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Patrice Motsepe Akutana na Rais wa Senegal

April 11, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Wananchi wa Jimbo la Kisesa Wamlilia Luhaga Mpina “Hatuoni Kosa Lolote Alilofanya”
Next: Nyota wa PSG, Achraf Hakimi Akabiliwa na Kesi ya Ubakaji

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH Abdalla mpemba Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

  • Aina 10 ya Wanawake Wanaopendwa na Wanaume

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • TRUMP aongeza tena saa 24 kwa IRAN, Spika wa Bunge amuambia anaipeleka Marekani Jehanamu

  • RC Makame: Atakayezua taharuki kupoteza ‘nyeti’ tutaruka naye

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.