
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza aliyewahi kuwa mbunge wa Viti Maalum wakati akiwa mwanachama wa CHADEMA kabla ya kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko kuwa mgombea wake wa ubunge katika jimbo la Tarime Mjini kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
