Faida za Mkataba wa Mchezaji Elie Mpanzi Pale Msimbazi

Faida za Mkataba wa Mchezaji Elie Mpanzi Pale Msimbazi
Faida za Mkataba wa Mchezaji Elie Mpanzi Pale Msimbazi

1- QUALITY- Kila mmoja anafahamu ubora wa Elie Mpanzu akiwa kwenye mwendo mzuri, hakuna shaka juu ya ubora wake na ndio imefanya Simba kuongeza mkataba wake

2- AGE– Umri wake bado ni mdogo, nguvu ipo na unaruhusu kutumika zaidi kiwanjani kwa muda mrefu bado pia kuna nafasi ya kubaki naye muda mrefu zaidi mkataba huu ukiisha

3- BUSINESS- Ni rahisi sana Simba kufanya biashara kama ubora wake ukiwa juu kwa kutazama umri alionao pia mahitaji ya vilabu vingi kuhitaji saini za wachezaji kutoka ukanda huu

4- COMPETITION & VALUE– Hapa kwenye nafasi anayocheza ushindani unaongezeka kitu ambacho kitaipa faida timu lakini pia thamani ya klabu inakua sababu wachezaji bora wapo kikosini

5- EXPERIENCE- Elie Mpanzu katika umri alionao tayari amecheza mashindano na klabu kubwa ambazo zimempa uzoefu ambao anaweza kuibeba timu kwenye nyakati tofauti tofauti.

NB: Sasa kilichobaki ni mchezaji mwenyewe kuonyesha mwendo ambao klabu yake inahitaji kuuona miguuni kwake.

Let’s Goo!!.

Anaandika @officialevodiusoscar_

Related Posts