Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Fiston Mayele Aingia Tatu Bora Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika Tuzo za CAF
HABARI ZA MICHEZO

Fiston Mayele Aingia Tatu Bora Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika Tuzo za CAF

November 17, 2025November 17, 2025 ajirayako

Nyota wa Pyramids, Fiston Mayele ameingia katika tatu bora ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa  klabu kwa Afrika kwa mwaka 2025, huku Nahodha wa klabu ya Simba, Shomari Kapombe akiondoshwa katika kinyang’anyiro hicho.

Wachezaji wanaochuana na Mayele katika fainali ni Mohamed Chibi (Pyramids) na Oussama Lamlioui (RS Berkane).

Orodha ya awali iliyotangazwa na CAF ilikuwa na jumla ya wachezaji 10 akiwamo Kapombe.

CAF Awards, Fiston Mayele

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Wachezaji Wa Simba SC Walioitwa Timu Zao Za Taifa

March 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

HATIMAYE Mchezaji Mo Salah Atangaza Kuachana na Liverpool

March 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Klabu Hizi Zaingia Tatu Bora Tuzo ya Klabu Bora Afrika Tuzo za CAF…Simba Out
Next: KOCHA wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic Aipiga Mkwala Singida Black Stars

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Drogba Atoa Kauli Kupokonywa UBINGWA Senegal

  • Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.