“Karibu National Team Master Gamondi, dk45 za kwanza game ilikua katika control yetu kabisa. Pasi kwa usahihi maelewano baina ya mchezaji na mchezaji na mapambano mengi ya mchezaji na mchezaji Wachezaji wetu walishinda
Dk45 za pili ilikua kinyume chake, Kuwait wakawa bora zaidi yetu kwa kushinda mipambano mengi zaidi yetu kasi na mtamanio ya kushinda mchezo, Stars mpaka walipo kuja kufanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji ndio wakarudi tena mchezoni
Ft Tanzania 3 Kuwait 4, Bench letu la ufundi lime anza na kipigo dhidi ya Kuwait
Taifa Stars yaendelea kutoa matumaini!
Ingawa tumetoka kupigwa 4–3 na Kuwait, mchezo wa leo umeonyesha sura mpya ya kikosi cha Gamondi—intensity, ubunifu na morali ya hali ya juu.
Kama Stars wakiendelea hivi, ushindi ni suala la muda tu.
Matokeo hayana ladha, lakini mwenendo umetia matumaini

