Gamondi Ashangazwa Mchezaji wake Muhimu Tchakei Kuuzwa Yanga

Kuelekea kwenye michuano ya kimataifa na mashindano mbalimbali ya ndani kocha mkuu wa kikosi cha Singida Black Stars Miguel angel Gamondi ameshangazwa na maamuzi ya klabu hiyo ya kuwatoa wachezaji wake muhimu

Hii ni mara baada ya kupata taarifa ya kwamba nyota wake muhimu wa kikosi cha kwanza Marouf Tchakei amejiunga na Yangasc huku akisikitishwa na baadhi ya wachezaji ambao wamefeli kujiunga na Singida Black Stars

Ikumbukwe kwa sasa Gamondi yupo nchini Morocco akisimamia kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kwenye michuano ya Afcon.

Related Posts