Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Golikipa Camara Kupelekwa Morocco Kutibu Jeraha la Goti
HABARI ZA MICHEZO

Golikipa Camara Kupelekwa Morocco Kutibu Jeraha la Goti

November 15, 2025November 15, 2025 ajirayako

Kwa mujibu wa taarifa kutoka klabu ya Simba, Mlinda mlango, Moussa Camara ataondoka kesho nchini kuelekea Morocco kwa ajili ya matibabu ya jeraha la goti yanayomsumbua.

Camara atafanyiwa upasuaji siku ya Jumatatu Novemba, 17 na anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nane mpaka 10.

Camara alipata majeraha hayo katika mchezo wa mkondo wa pili wa mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 28.

Habari Mpya za Simba, Kipa Camara

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

HATIMAYE Mchezaji Mo Salah Atangaza Kuachana na Liverpool

March 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

SportPesa brings South African runner John April to Moshi for Kilimarathon 2026

March 24, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo
Next: Ali Kamwe Anahamasisha Agenda Kufuta Aibu ya Madai ya Andabwile

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Drogba Atoa Kauli Kupokonywa UBINGWA Senegal

  • Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.