Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • GSM ameahidi kutoa Bilion 1 Endapo Klabu ya Yanga itafanikiwa Kuwafunga As Far Rabat
HABARI ZA MICHEZO

GSM ameahidi kutoa Bilion 1 Endapo Klabu ya Yanga itafanikiwa Kuwafunga As Far Rabat

February 7, 2026February 7, 2026 Udaku Special

Tajiri wa klabu ya Yanga Gharib Said Mohammed (GSM) ameahidi kutoa bilion 1 endapo klabu ya Yanga itafanikiwa kuwafunga As Far Rabat na kutinga hatua ya robo fainali siku ya leo.

Pesa hiyo imewekwa kwa lengo la kuwapa motisha wachezaji Yanga kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa Afrika utakaochezwa leo Februari 7 majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika Masharika pale nchini Morocco.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Wachezaji Wa Simba SC Walioitwa Timu Zao Za Taifa

March 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

HATIMAYE Mchezaji Mo Salah Atangaza Kuachana na Liverpool

March 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Kijana Aliyepotea Misituni Arudi Nyumbani Baada ya Miaka 8
Next: Mwanamke Adai Kuolewa Mara Tatu Lakini Wote Waachana kwa Siku 30

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.