Nature

Hemedi Morocco ni Bora Kuliko Gamondi, Tumekosea Sana

Mchambuzi wa masuala ya Soka na Uchumi, Biko Scanda kupitia Clouds Fm amesema kwa namna anavyowaona Makocha Miguel Gamondi na Hemedi Morocco, Morocco ni bora sana kuliko Gamondi.

Ametoa sababu zake ikiwemo suala la uzoefu katika mechi za timu za taifa, Morocco anauzoefu mkubwa kuliko Gamondi, Pia project ya taifa stars Morocco anaijua vizuri kuliko Gamondi.

Hivyo tulichofanya ni tumempokonya Morocco sifa zake ambazo yeye ndio kazitengeneza ,amefuzu Afcon halafu timu inaenda na Gamondi badala ya Morocco aliyeisaidia kufuzu.

Related Posts