Huyu Kocha MPYA wa Yanga ni Balaa, Hugawa Dozi Kulingana na Unavyokuja

Yanga imemtangaza Romain Folz raia wa Ufaransa kuwa kocha wao Mkuu.

👉 Falsafa yake ya ufundishaji

🗣️ “I don’t believe to say ‘that’s my way i wan’t to play’, if you set with idea/philosophy and you don’t want to adjust it’s wrong”

🗣️ “The way we approach the game is a little bit flexible basically to adapt any kind of opponent”

  • Kwa kutumia quotes hizo alizosema, ni bayana kuwa ni kocha ambaye anategemea zaidi Opponent Analysis
  • Mbinu zake za ufundishaji (Mifumo/miundo, style ya uchezaji na Principles) zinabadilika kulingana hali kama;
  1. Aina ya wapinzani (Opponent Analysis)
  2. Hali ya timu yake kwa wakati husika (Strength & Weakness)
  3. Mazingira kama uwanja, hali ya hewa n.k
  • Anaamini wachezaji wanaocheza sana ‘Show Games’ kama Skudu, Morisson hawapaswi kuzuia kufanya hivyo ila wapewe uhuru kama tu endapo skills zao haziathiri mahitaji ya timu kwa wakati huo

👉 CV yake kwa ufupi

  • 2025 Alikuwa Mkurugenzi wa michezo wa Olympique Akbou ya Algeria 🇩🇿
  • 2024 Alikuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundown ya South Africa 🇿🇦
  • 2023 Alikuwa kocha mkuu wa Horoya ya Guinea 🇬🇳
  • 2022 Alikuwa kocha mkuu wa Amazulu ya South Africa 🇿🇦
  • 2021 Alikuwa kocha Mkuu wa Township Rollers ya Botswana 🇧🇼
  • 2019 Alikuwa kocha Msaidizi wa Pyramid ya Egypt 🇪🇬
  • 2018 Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uganda 🇺🇬
  • Huyu kocha ana UEFA Pro Licence na Pro Licence ya CONMEBOL (America).

Let’s Enjoy the game

Related Posts