Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11
HABARI ZA SIASA

Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

February 9, 2026February 9, 2026 Udaku Special

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kesi Na. 19605/2025), imeahirishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam.
.
Ahirisho limetokana na upande wa Jamhuri kujibu pingamizi la mshitakiwa kuhusu Shahidi wa Siri, lililowasilishwa Novemba 2025.
.
Wakili wa Serikali, Nasorro Katuga, ameomba pingamizi hilo litupiliwe mbali kwa kukosa msingi. Mahakama itatoa uamuzi Jumatano, Februari 11, saa tatu asubuhi.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

IRAN yamkataa TRUMP ‘Hakuna mazungumzo yoyote tuliyofanya na Marekani’ Je! Amedanganya?

March 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

Waziri Gwajima Akanusha Kumzungumzia Pole Pole

March 24, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tundu Lissu “Nimekaa Gerezani Siku 307, Kesi Imesikilizwa Siku 14 tu”
Next: Paul Makonda “Tumepokea CV Nyingi Lakini Tumeamua Kubaki na Gamondi”

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.