Kila Aliponigusa, Mwili Wangu Ulikataa, Madaktari Wakasema Niko Sawa, Lakini Ukweli Ulikuwa Mahali Pengine

Worried female laying in bed with her husband looking anxious and concerned while thinking of her relationship issues. A man sleeping while his wife lays awake at night feeling depressed and troubled

Nilikuwa kwenye ndoa ambayo kwa nje ilionekana ya kawaida. Hakukuwa na ugomvi mkubwa, hakukuwa na kelele. Lakini kulikuwa na tatizo moja lililonisumbua kimya kimya kila aliponikaribia, mwili wangu ulikataa kabisa.

Sikuwa najifanya, wala sikuwa namchukia. Ilikuwa ni kama mwili wangu na moyo wangu havikuelewana tena. Nilitembea hospitali kadhaa. Vipimo vikafanywa, majibu yakarudi yale yale: uko sawa.

Lakini nilijua ndani yangu kuna kitu hakiko sawa. Nilihisi hatia, huzuni, na hofu kuwa ndoa yangu ingeangamia kwa jambo ambalo sikuweza kulieleza vizuri hata kwa maneno.

Kadri siku zilivyopita, ukimya ukaingia kati yangu na mume wangu. Nilijitenga, nikajilaumu, na wakati mwingine nikajikuta nikilia peke yangu usiku. Madaktari walikuwa wamesema niko sawa, lakini kwa nini basi mwili wangu ulikataa?

Ndipo nilipopata ushauri wa kumtafuta mtu anayeelewa mahusiano, nafsi, na mizizi ya matatizo ya ndani.Soma Zaidi.