Jina langu ni Dennis. Kupambana kwa juhudi zote usiku na mchana lakini kila unaloshika linaharibika na kukuingiza kwenye hasara na madeni ni mateso makubwa yanayoweza kumfanya mtu yeyote aone maisha hayana maana tena.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilikuwa nikipitia mikosi na nuksi zisizo za kawaida. Kila biashara niliyojaribu kuanzisha ilikufa ndani ya miezi michache, kila fursa ya fedha au kazi iliyonifikia ilipotea dakika za mwisho, na hata pesa kidogo niliyopata ilipotea kwa mambo ya dharura kama magonjwa yasiyoeleweka.
Nilibaki nikideka na umasikini, nikipoteza akiba yangu yote na kubaki mchezo wa kuchekwa na watu waliokuwa wakiniona kama mtu aliyelaaniwa na asiyeweza kufanikiwa kamwe.
Nikiwa kwenye simanzi nzito na msongo mkubwa wa mawazo nikihofia hatima ya maisha yangu, mjomba wangu aliyekuwa akishuhudia mahangaiko na machozi yangu alinitembelea. SOMA ZAIDI.
