Bingwa mtetezi wa CAF Champions League na bingwa wa Kihistoria [ Al Ahly & Pyramids] wametupwa nje ya mashindano baada ya kupoteza kwenye mechi zao za jumla
Pyramids kapigwa 2-1
Ahly kapigwa 3-2
FAR Rabat na Esperance zimefuzu Nusu Fainali