Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Political News
  • Kipa wa Taifa STARS Kuzawadiwa Gari Aina ya CROWN Asipofungwa
Political News

Kipa wa Taifa STARS Kuzawadiwa Gari Aina ya CROWN Asipofungwa

August 22, 2025August 22, 2025 Udaku Special

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaahidi wachezaji wa Taifa Stars zawadi ya TZS milioni 20 pamoja na viwanja Kigamboni, Dar es Salaam.

Vilevile, Golikipa wa Tanzania iwapo hatoruhusu goli dhidi ya Morocco kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 atazawadiwa gari mpya aina ya Toyota Crown.

Mchezo huo utachezwa leo saa 2:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Related Posts

Trump afurahia kifo cha muongozaji wa Hollywood ambaye yeye na mkewe wameuliwa na mtoto wao
Political News

Trump afurahia kifo cha muongozaji wa Hollywood ambaye yeye na mkewe wameuliwa na mtoto wao

December 16, 2025December 16, 2025 Udaku Special
Political News

Rosa Ree Amchana Majizzo Kwa Uchungu Kuhusu Wasanii, “Taifa Linavuja Damu Lina Msiba Endelevu”

December 13, 2025December 13, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Stars Wapewa Motisha Milioni 200 na Rais Samia Kuelekea Robo Fainali
Next: Jinsi ya Kumkamata Mpenzi Wako Akiwa na Mpango wa Kando Bila Stress

Popular Posts

  • Mwijaku afunguka makubwa ugonjwa wa Mkubwa Fella! Amuomba Mwana FA kumsaidia Meneja wa Diamond

  • Shabiki wa Congo Anayesimama Kama Sanamu Kuzawadiwa Milioni 40

  • Wachezaji Nigeria Watia Mgomo Kisa Kutolipwa Bonasi za Ushindi

  • Alichokisema Ali Kamwe Baada ya Simba Kufungwa na Azam

  • Ndugu wa Diamond Platinumz hawampendi Zuchu

  • Lulu Diva Afunguka Kumzunguka Wema Sepetu Kwa Whozu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.