Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Klabu ya Simba Imemtambulisha Anicet Oura Nyota Raia wa Ivory Coast
HABARI ZA MICHEZO

Klabu ya Simba Imemtambulisha Anicet Oura Nyota Raia wa Ivory Coast

January 27, 2026January 27, 2026 ajirayako

Klabu ya Simba imemtambulisha Anicet Oura nyota raia wa Ivory Coast baada ya kukamilisha taratibu zote za usajili juu ya nyota huyo aliyewahi kukipiga Asec Mimosas pamoja na Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Oura anamudu kucheza kama winga pamoja na namba 10 na amekuja kuongeza nguvu katika eneo la Ushambuliaji la klabu ya Simba.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Depu Atupia Hat Trick Yanga Wakiifuata TMA Stars 16 Bora

March 9, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 5 Kariakoo Derby

March 7, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: TB Ilikua Kituo Cha Hatari Maishani Mwangu Hii Ndiyo Njia Nilivyopona Ndani ya Siku Chache Baada Ya Kutembelea Daktari Maalum
Next: Miaka Mitano Nikiteseka Kufuatia Ajali Hadi Njia Hii Moja Iliweka Mwili Wangu Tena Kwenye Nguvu

Popular Posts

  • Mauaji ya Ayatollah Ali Khamenei alivyouliwa nyumbani! Kwanini hakutaka kujificha

  • Ripoti ya Ujasusi ya Marekani ilibaini Serikali ya IRAN Haiwezi Kuanguka hata ishambuliwe vipi!

  • Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”

  • Yanga Yalalamika Kuhusu Adhabu na Makosa ya Waamuzi Ligi Kuu

  • Miaka 7 Jela kwa Kutumia Vyeti FEKI vya Marehemu

  • Polisi Pwani Kuhusu Bawacha “Walikuwa Wanaenda Kutekeleza Uhalifu”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.