Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kocha Msaidizi, Matola Ndio Basi Tena
HABARI ZA MICHEZO

Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kocha Msaidizi, Matola Ndio Basi Tena

January 16, 2026January 16, 2026 ajirayako

Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kristopher Bergman kuwa kocha msaidizi mpya wa timu hiyo, ikiwa ni sehemu ya maboresho ya benchi la ufundi kuelekea mashindano yajayo ya ndani na kimataifa.

Uongozi wa Simba SC umeeleza kuwa ujio wa Bergman unalenga kuongeza ubora wa kiufundi, mbinu na uzoefu ndani ya benchi la ufundi, ili kuimarisha ushindani wa kikosi katika Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho pamoja na michuano ya CAF.

Related Posts

Miaka 10 ya Infantino FIFA, Mshahara Wake Waibua Maswali
HABARI ZA MICHEZO

Miaka 10 ya Infantino FIFA, Mshahara Wake Waibua Maswali

January 17, 2026January 17, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Mgombea wa Urais Uganda Bob Wine Akamatwa na Kuchukuliwa na Helkopta ya Kejeshi

January 17, 2026January 17, 2026 ajirayako

Post navigation

Previous: Polisi Wadaiwa Kuzingira Nyumba ya Bibi Wine Mgombea Urais Uganda
Next: Ashinda Ubunge Akiwa Gerezani Uganda

Popular Posts

  • Timu ya Vipers Wameandika Haya Kuhusu Allan Okello

  • Bifu zito! Mwijaku na Dudu Baya Watupiana Maneno Machafu Kisa Mkubwa Fela “Unatafuta Kiki kwa Fela”

  • Rais wa Congo Amzawadia Gari Aina ya Jeep Shabiki Lumumba wa AFCON

  • Diamond Platnumz Alitumia zaidi ya Milioni 200 Kumtibu Mkubwa Fella

  • Dkt. Philip Mpango, na Aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Walamba Uteuzi

  • Allan Okello Kuwasili Yanga Kesho

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.