𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦 : Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC na Anthony wa Namungo FC
Uamuzi huo umekuja baada ya kocha Fadlu Davids kutoridhishwa na kiwango chake, na Khadim Diaw alikuwa alishakamilisha makubaliano binafsi na Simba SC

