Nature

Kocha Harambe Stars Afurahia Taifa Stars Kukutana na Morocco “Watapata Tabu Sana”

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya 🇰🇪Kenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, 🇹🇿Tanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya 🇲🇦Morocco.

” Tanzania watapata kile tulichokipata sisi kwenye kundi la kifo, nahitaji majibu baada ya mchezo wao.”

  • Benni McCarthy, Kocha mkuu wa Harambee Stars.

Related Posts