Kocha Harambe Stars Afurahia Taifa Stars Kukutana na Morocco “Watapata Tabu Sana”

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชKenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟTanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆMorocco.

” Tanzania watapata kile tulichokipata sisi kwenye kundi la kifo, nahitaji majibu baada ya mchezo wao.”

  • Benni McCarthy, Kocha mkuu wa Harambee Stars.

Related Posts