
Kama unataka kuwa shindani lazima uwe na wachezaji wenye quality ya Diarra , mwamba anajua kuamua game imalizike vipi . Saves muhimu , yupo active na ngumu kumuona anafanya makosa : LEADERSHIP
Diarra amekuwa na performance bora sana hasa kwenye nyakati muhimu ( dakika 180 dhidi ya Sundowns , Fainali dhidi ya USMA ugenini 🙌 kwenye mafanikio ya Yanga Diarra jina la huyu mwamba linatakiwa kuboldiwa )
TOP TOP TOP PERFOMANCE 🔥

