
Liverpool imeibuka na ushindi wa 3-2 nyumbani Anfield dhidi ya Atletico Madrid licha Marcos Llorente kuifungia Atletico Madrid magoli mawili kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Paris Saint-German ikiilaza Atalanta ya Italia 4-0 huko Parc des Princes, Paris Ufaransa
Kwingineko Chelsea imelala 3-1 dhidi ya Bayern Munich katika dimba la Allianz Arena, Jijini Munich huku Inter Milan ikiibamiza Ajax Amsterdam 2-0 katika dimba la Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam Uholanzi.
FT: Liverpool 🏴 3-2 🇪🇸 Atletico Madrid
⚽ 04’ Robertson
⚽ 06’ Salah
⚽ 90+2’ van Dijk
⚽ 45+3’ Llorente
⚽ 81’ Llorente
FT: Bayern Munich 🇩🇪 3-1 🏴 Chelsea
⚽ 20’ Chalobah (og)
⚽ 26’ Kane (P)
⚽63’ Kane
⚽ 29’ Palmer
FT: PSG 🇫🇷 4-0 🇮🇹 Atalanta
⚽ 03’ Marquinhos
⚽ 39’ Kvaratskhelia
⚽ 51’ Mendes
⚽ 90+1’ Ramos
FT: Ajax 🇳🇱 0-2 🇮🇹 Inter Milan
⚽ 42’ Thuram
⚽ 47’ Thuram

