Mafarao wa Misri Watupwa nje, Argentina Ikitinga Robo Fainali

Mafarao wa Misri Watupwa nje, Argentina Ikitinga Robo Fainali
Mafarao wa Misri Watupwa nje, Argentina Ikitinga Robo Fainali

Mabingwa watetezi michuano ya Kombe la Dunia, Argentina wamepindua meza kibabe sana dhidi ya mafarao, Misri wakitoka nyuma 2-0 na kushinda 3-2, β€˜comeback’ iliyoanzia dakika ya 79 ya mchezo.

Ushindi huo umehitimisha safari ya mafarao kwenye Kombe la Dunia 2026 huku Argentina ikitinga hatua ya robo fainali ambapo itakutana na mshindi wa mchezo mwingine wa hatua ya 16 bora kati ya Uswisi dhidi ya Colombia.

FT: Argentina πŸ‡¦πŸ‡· 3-2 πŸ‡ͺπŸ‡¬ Misri
❌ 21’ Messi
⚽ 79’ Romero
⚽ 84’ Messi
⚽ 90+2’ Enzo
⚽ 15’ lbrahim
⚽ 68’ Ziko

Related Posts